Rieta AgroSciences Tanzania Limited is a locally owned agribusiness producing, processing and distributing improved seed while supporting farmers with practical extension services. Rieta AgroSciences Tanzania Limited ni kampuni ya kilimo inayomilikiwa na Watanzania, inayozalisha, kuchakata na kusambaza mbegu bora, huku ikiwawezesha wakulima kupitia huduma za ugani zenye vitendo.
Improving farmers' access to quality seed and practical agricultural solutions.Kuboresha upatikanaji wa mbegu bora na suluhisho za kilimo kwa wakulima.
Rieta AgroSciences Tanzania Limited (RIETA) is a locally owned agribusiness based in Songwe, Tanzania.Rieta AgroSciences Tanzania Limited (RIETA) ni kampuni ya Kitanzania yenye makao yake Songwe, Tanzania.
RIETA began its journey in 2017 in Mbozi District and formally incorporated in 2019 to scale up seed production, processing, and farmer support.RIETA ilianza shughuli zake mwaka 2017 Wilaya ya Mbozi na kusajiliwa rasmi 2019 ili kuongeza uzalishaji wa mbegu na huduma za ugani.
To be a successful and most dependable partner in farmers' development.Kuwa mshirika anayeaminika zaidi katika kuchangia maendeleo ya wakulima.
To help farmers solve existing challenges innovatively.Kuwasaidia wakulima kutatua changamoto zao kwa ubunifu.
Take a look at RIETA's field inspections, seed packaging, and harvest quality.Tazama ukaguzi wa mashamba, ufungashaji wa mbegu na maandalizi ya mavuno.
Our committed extension and field officers working closely with community farmers.Maofisa wetu wa ugani wakihudumia na kutoa elimu kwa wakulima.
Proven high yield potential from RIETA hybrid seed varieties.Matokeo halisi ya mavuno mengi yanayotokana na mbegu za RIETA.
Regular crop monitoring to ensure top seed vigor and purity.Ukaguzi wa mara kwa mara wa afya ya mazao na uzazi wa mbegu.
Consistent quality and dependable partnership.Uboreshaji wa mara kwa mara na ushirikiano unaoaminika.
Modern seed solutions for evolving farming needs.Suluhisho za kisasa za mbegu kukidhi mahitaji ya kilimo.
Optimized production and extension services.Uzalishaji na huduma za ugani zenye matokeo bora.
Working hand in hand with farmers and partners.Kufanya kazi bega kwa bega na wakulima na wadau.
High-quality seeds accessible to all farmers.Mbegu bora zinazopatikana kwa gharama nafuu.
Improved seed varieties selected to provide high yield and disease resistance.Aina za mbegu bora zinazolenga kumpa mkulima mavuno mengi na ustahimilivu wa magonjwa.
We multiply, process, and package certified high-yielding seeds for maize and legumes.Tunasindika, tunachakata na kufungasha mbegu bora zilizothibitishwa za mahindi na nafaka.
Our team provides on-field technical support and Good Agricultural Practices (GAP) training.Wataalamu wetu wanatoa mafunzo na ushauri wa moja kwa moja shambani kwa wakulima.